F FRGR Senior Member Joined Aug 11, 2011 Posts 126 Reaction score 56 Aug 18, 2015 #1 Pikipiki ya kampuni ya bajaj boxer bm 150 inauzwa...ilikuwa inatumika kwa matumizi binafsi na si bodaboda...ni 1.5...ina miezi 8 tangu inunuliwe....1.6m... Aliye tayari ani cheki kwa whatsapp 0713 190 118 Kwa ajiri ya picha....nipo mabibo Dsm..
Pikipiki ya kampuni ya bajaj boxer bm 150 inauzwa...ilikuwa inatumika kwa matumizi binafsi na si bodaboda...ni 1.5...ina miezi 8 tangu inunuliwe....1.6m... Aliye tayari ani cheki kwa whatsapp 0713 190 118 Kwa ajiri ya picha....nipo mabibo Dsm..
Kurutamjanja JF-Expert Member Joined Nov 21, 2013 Posts 396 Reaction score 377 Aug 18, 2015 #2 We una wenge na inaonekana ww ni Dalali. Maana una bei mbilimbili 1.5 au 1.6? Hueleweki Broo.
F FRGR Senior Member Joined Aug 11, 2011 Posts 126 Reaction score 56 Aug 18, 2015 Thread starter #3 aisee nilikosea...ila ni between 1.6 na 1.5.....aliye tayari anicheki...
geofreyngaga JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 667 Reaction score 974 Aug 19, 2015 #4 Between 1.6 na 1.5 ni (1.6+1.5)/2=1.55 Guys bei ya between ndio hiyo(1.55) mwenye pesa na anunue. Nilikua na rahisisha mahesabu tu. Bye!
Between 1.6 na 1.5 ni (1.6+1.5)/2=1.55 Guys bei ya between ndio hiyo(1.55) mwenye pesa na anunue. Nilikua na rahisisha mahesabu tu. Bye!
Dogo Tundu JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 448 Reaction score 189 Aug 19, 2015 #5 Chukua 1m. Kama inafaa njoo uchukue mpunga badae.