Mlevihalisi
Member
- Dec 9, 2017
- 19
- 3
Hello wapendwa wa jf,,nauza pikipiki yangu boxer bm 150, pikipiki niliinunua mwez wa tano mwaka Jana! Nilikuwa naitumia kwa matumiz binafsi ya kuendea kazn na kurud nyumbani!! Kwa sasa sina matumiz nayo baada ya kupata usafir mwingine!! Pikipiki bado inavutia na haijawah kupigwa spana zaid ya service ya kawaida! Bei n 1,800,000 lakin maongez yapo! Napatika DSM kigambon lakin pikipiki nimeitunza ofisin kwangu posta! Njoo uikague
NB: Starter haipigi kwa sababu ya kukaa mda mrefu bila kutumika,,karibun
NB: Starter haipigi kwa sababu ya kukaa mda mrefu bila kutumika,,karibun