Acha kumdanganya ni bora umwambie ukweli hakuna mteja atakaemtafuta huyu jama pikipiki mpya ni milion mbili laki mbili hii yake kaitumia mwaka na miezi saba na anauza milioni mbili. ni kichaa tu anaweza nunua hiyo pikipiki kwa bei hiyoMkuu humu utapata kila aina ya kejeli.
Lkn wewe kuwa mpole wateja watakutafuta tu maana humu wengi wanatumia tu data ili siku ziende sio wateja wala nn.