Pikipiki Bora kabisa - Tong BA

TB 200 -14

Push to start

Imelipiwa Kodi zote

Bei take 4,950,000/=

Mobile . 0786011953
View attachment 989327

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Charles vs Charles mkiparuana makucha.
 
Mkuu wewe umeangalia online! Yeye anayo physically ndo maana ameweka na faida juu.
Mbona Japan gari inauzwa us$ 1000 lakini likifika huku unakuwa umegharamika 8mln tsh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe umeangalia online! Yeye anayo physically ndo maana ameweka na faida juu.
Mbona Japan gari inauzwa us$ 1000 lakini likifika huku unakuwa umegharamika 8mln tsh.

Sent using Jamii Forums mobile app

Labda hauna uzoefu kwenye kuagiza vifaa kama hivi china mkuu,
in short ukinunua hiyo mashine especially yenye engine ya ZHONGSHEN, Guangzhou unaweza ipata kwa bei chini ya niliyo iweka inaweza kuwa kama laki tisa ya bongo....kuipakia na kuifikisha bongo haita zidi laki nane mpaka unaiweka mikononi inaweza fika milioni 2(kununua na kuisafirisha na kuitoa)...wekea maximum 2.5M sasa hiyo faida ya asilimia 100. Kanunue mkuu sija kukataza but natoa maoni yangu huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…