Pikipiki bajaji pursar inauzwa 180cc

Pikipiki bajaji pursar inauzwa 180cc

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
Pkpk tajwa hapo juu bajaji pursar cc180 inauzwa bei 2,450,000 new model bei inapungu ipo Dar es salaam kaliakoo cm 0755984282
 
Niamwaka mmoja cc 180 namba B
 
Hii pikipiki ni ya ukweli sana kama unahitaji mashine hiyo ni ya uwakika yaani wewe unatakiwa ucheze na oil na mafuta basiii inanguvu ni stable barabarani na inaweza kutembea mpaka km 800 non stop mbio ni za kufikia boxer 150 hapo itasoma namba ina plug mbili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom