Mie yangu ninayo aina ya LANTIC, inamwaka mmoja sasa sokoni, na inapiga boda boda hadi leo hii inaleta hesabu, nauza laki nane tu. Haina punguzo hiyo. Kama unahitaji ni PM, pia simu yangu haiwezi kutuma picha hapa, nitumie namba ya watsap nitakutumia picha ya piki piki hiyo. Pia napatikana mbagara- dar es salaam