Pikipiki aina ya Boxer150cc inahitajika

Pikipiki aina ya Boxer150cc inahitajika

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,260
Husika na kichwa cha habari hapo juu inahitajika pikipiki aina ya boxer yenye hali nzuri bajeti ni 800,000

Kwa ambaye anayo tuwasiliane pm kama unayo iyo machine njoo Pm tuyajenge
 
Muuzaji ama wauzaji fungukeni aseee!!
 
Mwenye mzigo afunguke
 
Jamani hamna mwenye mashine tajwa apo juu
 
Eeeh naona wana mmegoma kuuza chombo
 
Upo wapi?
Niko dsm kama unayo nipe no yako apa maaana anona pm sms zinazingua mkuu uku kwangu sms z pm hazifunguki nitafute apa 0621840335 whatsap mkuu fnya ivyo ili tuweze kufanya biashara boss
 
Boxer 125 ndo nini mkuu sijakuelewa kabisa chief
Eleza boxer 125 ndo nini alfu ni sh ngap nadhani dau langu umeliona pale juu maana nimeweka na ofa yangu kabisa
 
Boxer 125 ndo nini mkuu sijakuelewa kabisa chief
Eleza boxer 125 ndo nini alfu ni sh ngap nadhani dau langu umeliona pale juu maana nimeweka na ofa yangu kabisa
 
Bk
Eleza boxer 125 ndo nini alfu ni sh ngap nadhani dau langu umeliona pale juu maana nimeweka na ofa yangu kabisa
boxer yenye engine ya ukubwa wa cc 125 tofauti na hizi za cc 150.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom