K Kigundu Member Joined Jul 28, 2015 Posts 79 Reaction score 24 Dec 23, 2015 #1 Km unajua bei ya pikipiki hizo kwa dar na mwanza nijuze tafadhali.
kalemauji JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 1,620 Reaction score 1,831 Dec 23, 2015 #2 Kama uko mwanza bora ununue mwanza, dar boxer ni 2100000, kinglion 1700000.tofauti ya dar na mwanza ni ndogo ni kwa boxer ni kama 200000 na kinglion tofauti ni kama 150000.
Kama uko mwanza bora ununue mwanza, dar boxer ni 2100000, kinglion 1700000.tofauti ya dar na mwanza ni ndogo ni kwa boxer ni kama 200000 na kinglion tofauti ni kama 150000.