unataka hizo pikipiki used? wewe uko wapi na mawasiliano yako ni yepi?zinahitajika pikipiki 4 (san lg, boxer au fekon) nzuri. bajeti ni milioni 1 na laki 2 kila moja.
asante
zinahitajika pikipiki 4 (san lg, boxer au fekon) nzuri. bajeti ni milioni 1 na laki 2 kila moja.
asante
Ipo toyo nataka 1milion only.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
zinahitajika pikipiki 4 (san lg, boxer au fekon) nzuri. bajeti ni milioni 1 na laki 2 kila moja.
asante
Nina sun LG
0658554992