kuha makini au unataka kujalibu kuangalia km pkpk yako inauzika tangazo kama ilo kuz sizani halieleweki in short pm nimambo yakizaman huelweki hata kidogo ndo yale maswala una mp nipo kigoma nikupotezeana muda weka maelezo yalio kamilika pkpk ipo api inamuda gan tokea inunuliwe aina gani jama watz mbona bazi yetu sio wachangamfu ktk kuanda mazingila yakuza vitu amka mtz