Piga Kura Ya Maoni Kwa Picha Hii...!

Piga Kura Ya Maoni Kwa Picha Hii...!

nyumbatatu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,076
Reaction score
940
IMG-20170221-WA0002.jpg
 
Kwenye mbaya na mbaya zaidi wachagua nini?
 
Vasco da gamma Ww nenda tu kaka..
Tuache na magu wetu sasa Hivi heshma maofisin Zmejaa tra polis hospital heshma juu
 
Nchi hii inahitaji mfumo mpya kabisaa mfumo wa watu kutoka vyama tofauti , bila hivyo hata magu atakuwa bora akija mwingine
 
Wenye uwezo wa kuongoza Nchi kutoka vyama tofauti hawapo kabisa..
Wapinzani wenyewe hawajiwezi wataishia kuiga utendaji uleule wa ccm..
Kwan mpaka sasa hawana hoja za msingi zaidi ya Kudakiadakia udaku
 
images-973.jpeg
 
Back
Top Bottom