Picture of the Day

hakuna la kuchekesha hapa maana utayashangaa mawazo ya watu kwa jinsi yalivyosheheni ujamiianaji tu............. hakuna lingine. Mtu aipewe kukaa karibu na mwanamke. Tayari akili imeshafikiri namna ya kujamiiana.
Ndio sababu watz wake zao wengi utembea na maboss wao. Sababu hii hii:confused:

Bwa shee, ukweli unabaki pale pale kuwa HUKU AFRIKA hususani BongoLand, wengi wetu ni watumwa wa Ngono!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom