Naona kama bado nina usingiziMuda wa mishemishe huu.Hakuna kulala.😂😂
Lakini si anazungumzia nyumba za NHC za huyu mwamba Mchechu? Sikujua NHC wana nyumba UKMayor,kiswahili nyoofu siku hizi kinakushinda tangu uishi mamtoni sana.
Ntakongozaje ukiwa umelala? Au usingizi umekata?Si unitongoze sasa unasubiri nini?
Maandishi ya mstahiki meya yamekulevya?😂Naona kama bado nina usingizi
Ana "floo" lugha akiwa ughaibuni ila hoja ya Mchechu ipo Darisalama joto!Lakini si anazungumzia nyumba za NHC za huyu mwamba Mchechu? Sikujua NHC wana nyumba UK
Nifanye nisilaleNtakongozaje ukiwa umelala? Au usingizi umekata?
Mayor kiboko. Afu thread yenyewe ina mkwala maana title ni "kitendawali" .... PICK YOUR POISON.... Isije ikawa analalamika kanisa lake waumini wamepungua wamehamia kwa Mwamposya.....Maandishi ya mstahiki meya yamekulevya?😂
Let’s deal with the contentMayor,kiswahili nyoofu siku hizi kinakushinda tangu uishi mamtoni sana.
Nimehisi labda nina maluweluwe ya usingiziMaandishi ya mstahiki meya yamekulevya?😂
"Nikikufanya" utafurahi?Nifanye nisilale
🤣🤣🤣 lione"Nikikufanya" utafurahi?
Umeona sasa?,Uchoyo tu🤣🤣🤣 lione
Hena muvina.Utige the very block you've been dwelling in was ov your parents before?Or you'd purchased on loan wise?Well,nkubwila hivii,yeneyo numba muiguse kwa silingi nzolofu za nchi yeneyo.Naamini na mimi umenielewa mstahiki.Let’s deal with the content
Unajuwa walimu hasa wa university kwanza wana analyse ulichoandika on the subject matter kuliko chochote.
usually in academic writing za post graduate, grammar (which includes, appropriate referencing is only 10% of the grade).
Hapa hoja ni ku encourage NHC wavunje block for development yenye faida.
Sijakufikia wewe kwa uchoyo😅Umeona sasa?,Uchoyo tu
Mamamamamamaae... Umejua kunichekesha msibani. Ngoja nikatoe lock wasijesema nimefurahi jamaa kadedi kwakuwa alikuwa ananidai..Hena muvina.Utige the very block you've been dwelling in was ov your parents before?Or you'd purchased on loan wise?Well,nkubwila hivii,yeneyo numba muiguse kwa silingi nzolofu za nchi yeneyo.Naamini na mimi umenielewa mstahiki.
😩😩😩Hena muvina.Utige the very block you've been dwelling in was ov your parents before?Or you'd purchased on loan wise?Well,nkubwila hivii,yeneyo numba muiguse kwa silingi nzolofu za nchi yeneyo.Naamini na mimi umenielewa mstahiki.
Mstahiki,unaanzaje kumnanga mheshimiwa Rais?Utachapwa!Hi mada tena kutokana na wavamizi na mtindo wao chats ishakuwa tena mahala pake sahihi ni ‘habari hoja na mchanganyiko’ sio kwenye siasa.
Hawa jamaa wanajuana wenyewe, kwa sie wa siasa, ngoja nitafute mada ya kumnanga ‘Bi Tozo’.
👋👋👋
Yani ndo maana nakosa hamasa ya mtongozo. Nilitegemea saa hizi naniliu iwe imeloa....Sijakufikia wewe kwa uchoyo😅
Kwenye siasa tunaelewa mipaka yetu ya kunyofolewa kucha.Mstahiki,unaanzaje kumnanga mheshimiwa Rais?Utachapwa!