Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,495
Ndugu yangu kuna watu wa ovyo kweli kwenye hii dunia.Mbona unaongea peke yako na lukwili hii?Hebu eleza kilichojiri kwa matao.
Kwamba,kuna nyumba ambayo mmekuwa mkiishi kwa muda mwingi katika maisha yenu.Unalipa kodi zaidi/karibia milioni tatu kwa fedha ya Tanzania.Ndugu yangu kuna watu wa ovyo kweli kwenye hii dunia.
Kuna kajumba ambacho binafsi nina emotional attachment nako ila katika miaka karibu 30 nimekaa week moja, ila kwa mwaka nakalipia kodi kama ya 3 milllon kwa sababu za kifamilia...
Ujakosea upo sahihi, isipokuwa hapo kwenye hangover tu, ungeweka neno umechoka kuwahurumia na kuwalipia kodi mijitu mifala.Kwamba,kuna nyumba ambayo mmekuwa mkiishi kwa muda mwingi katika maisha yenu.Unalipa kodi zaidi/karibia milioni tatu kwa fedha ya Tanzania.Na inamilikiwa na NHC.Na wanataka kuivunja.Na weye umejikatia tamaa na kuwaambia wavunje tu.Ni hivyo nilivyoelewa au bado nina hangover?
Kama ulikua na uwezo wa kulipa kodi 3m kwa mwaka na ulikua na plot yako goba, kwa nini hukujenga nyumba yako?Ujakosea upo sahihi, isipokuwa hapo kwenye hangover tu, ungeweka neno umechoka kuwahurumia na kuwalipia kodi mijitu mifala...
Aisee we jamaa ni kichwa... Mi sikuelewa japo robo....Kwamba,kuna nyumba ambayo mmekuwa mkiishi kwa muda mwingi katika maisha yenu.Unalipa kodi zaidi/karibia milioni tatu kwa fedha ya Tanzania.Na inamilikiwa na NHC.Na wanataka kuivunja.Na weye umejikatia tamaa na kuwaambia wavunje tu.Ni hivyo nilivyoelewa au bado nina hangover?
Kodi kwa mwaka milioni 3. Na amelipia kwa miaka 30.... Yani 90m...Kama ulikua na uwezo wa kulipa kodi 3m kwa mwaka na ulikua na plot yako goba, kwa nini hukujenga nyumba yako ?
Na bado utachanganyikiwa zaidi maana kiwanja chako cha goba nacho kimeshauzwa.
Ndugu yangu kujenga sio issue na nina option ya pakujenga (elewa hivi kujenga sio issue kwa upande wangu).Kama ulikua na uwezo wa kulipa kodi 3m kwa mwaka na ulikua na plot yako goba, kwa nini hukujenga nyumba yako ?
Na bado utachanganyikiwa zaidi maana kiwanja chako cha goba nacho kimeshauzwa.
Amka uende masifu mwanajumuiya.πππππAisee we jamaa ni kichwa... Mi sikuelewa japo robo....
Kanyumba amekalipia miaka 30 lakini amekaa wiki moja
Kumbuka weye ni mayor.Una kauli juu ya ardhi kama mzawa.Afadhali makada wanaweza vumilia upuuzi in return ya nafasi, ata sijui vigezo vya teuzi.
Ila kuna wale ambao wanaelewa wanajuwa wazi wana mishahara ya kumudu maisha kwa miezi nane, miezi minne wanamtegemea fulani asaidie.
Upuuzi sasa wanaweza tafuta ugomvi na huyo sponsor ndani ya hiyo miezi nane, wakati ikifika hiyo minne ya mwisho lazima waende kulia kwa mtu yule yule waliemtukana (mbio za sakafuni) ndio hapo sielewi.
Kwakweli.... Naheshimu ushauri wakoAmka uende masifu mwanajumuiya.πππππ
Kumbuka.Zaka na michango mingine inatusubiri.Majilio kama majilio.Kwakweli.... Naheshimu ushauri wako
Sisi wazee wa kanisa hatutoi zaka, bali tunahesabu zaka na sadaka zilizotolewa na waumini....Kumbuka.Zaka na michango mingine inatusubiri.Majilio kama majilio.
Nikisema niwaandikie proposal U.K Aid ya mkopo na wananutumia funding rounds and areas of interest kwao awachimoki.Kodi kwa mwaka milioni 3. Na amelipia kwa miaka 30.... Yani 90m...
Hapo kwenye plot yake angekuwa kashaweka mjengo wenye akili kabisa
Mayor,kiswahili nyoofu siku hizi kinakushinda tangu uishi mamtoni sana.Nikisema niwaandikie proposal U.K Aid ya mkopo na wananutumia funding rounds and areas of interest kwao awachimoki.
Moreover as a U.K. resident hizo investment ni FDI and subjected to U.K. bilateral agreement na naona sehemu nyingi kwa vigezo vya kuwekeza na kutengeneza hela.
Lakini unaishi vipi kwa amani wakati mambo mengine ambayo unayalewa, yapo nje ya uwezo wako, yanaenda ndivyo sivyo and a lot of people are affected without you doing nothing.
Afu nimemisi kukutongoza....Ngoja kwanza nirudi kulala
Muda wa mishemishe huu.Hakuna kulala.ππNgoja kwanza nirudi kulala
Si unitongoze sasa unasubiri nini?Afu nimemisi kukutongoza....