Picha

Duu, ukiwapata hao kazini unaomba ruhusa ya siku mbili.
 


Hivi hawa wachina kama hicho kitu ni kivutio cha wanaume mbona wenyewe walivokaa hajulikani mwanamke yupi.. na mwanaume yupi..
mbona hawatumii? ama kweli Afrika ni jalala la kila kitu.
 
nguvu za mchina zimetumika zaidi hapo
 
hivi ina maana kabla ya mchina hivi vitu havikuwepo? Kwa nini kila aliyebarikiwa mpododo mumuone katumia mchina? Vingine kitu natural........ hata kwetu wapo.
 
Huwa sipendi ufinyu wa mawazo au mawazo mgando ya baadhi ya watu kufikiri kila mwanamke mnene(aliyejaliwa makalio) basi ni nguvu za mchina!!!Kila kitu mchina machina,kama vile haya mambo hayakuwepo na hayapo bila wao.sisemi kama hawapo hao wachache watumiaji ila sio kila mtu ni mchina.Kuna watu wengi tu ambao ni maumbo yao ya asili kabisa.tuwe great thinkers sio kufuata mkumbo tu....!!!!
 

Kweli mkuu wangu umenena vyema.
 
He who thinks to think good than others, he thinks wrong than any one!
 
Umeshahau kuwa tone la mafuta ya taa huharibu ladha kuliko ambavyo tone la mafuta ya kula lingeongeza ladha? na pia ubaya husemwa zaidi kuliko uzuri
 
Picha za kimalaya hz, hazina maadili zipelekwe Jukwaa Husika maana, kwangu mm hz ni disturbing images!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…