Picha: Zitto atikisa KASULU, Mkutano wa hadhara

Status
Not open for further replies.
Zitto alialikwa na CDM Kasulu, amekwenda kama mualikwa.

Source: Katibu wa CDM Kasulu.

Mod futa hii thread.
 
Crashwise na Hii linganisha pia.
 
Last edited by a moderator:
Nimeangalia picha zilizowekwa kwenye post ya kwanza ya uzi huu...nilichogundu kwenye nyuso za wananchi waliohudhuria zinaonyesha kabasa kuwa wanamsikitia sana mbunge wao, hawana nyuso za matumani. Kitu ambacho kinawasikitisha sijakijua bado....!?
 
Mwambie akafanye mikutano 26 jimboni kwake aliyoahidi kuifanya baada ya kuwekwa kitimoto na kamati ya jimbo akaishia kufanya mmoja tu.

Mwambie awape wananchi wa Nyarubanda Fuso alilowaahidi.
 
Ulikuwa hujui, baada ya kusoma alama za nyakati alishakubaliana na Serukamba wabadilishane majimbo 2015? Ndio maana sifa kwa wana ujiji (wabware) zilikuwa kemkem.
 
Napenda kumpongeza mh zitto kwa ziara aliyo ifanya jimboni kwake hivi karibuni.ni suala la hekima kwa mbunge kukutana na wapiga kura wake.maana ni katika mikutano hii wananchi hupta nafasi ya kumweleza kero zao mb wao na yy kuwaeleza maendeleo/changamoto za ahadi zake.Lakini nashangaa kuona ziara hiyo ikiendelea hadi jimbo lasulu.ninashangaa kwa sababu ,
1.zitto so mbunge wa kasulu kilicho mpeleka huko nini?
2.je alienda kujenga chamachake?
4.kama alienda kujenga chama alienda kama nani ndani ya chama maana nijuavyo mimi zitto ni mbunge tu ndani ya chama nasivinginevyo.
5.hata kama alitumwa kujenga chama mbona kadi hakuuza hata 1?na cha ajabu zaidi ni hutuba aliyotoa kigoma,hakuna mahali inapohamasisha watu kujiunga na chama chake(chadema)zaidi yakutka kuonewa huruma na wana kigoma.nasema hivi kwa sababu ukiisoma vizuri ile hotuba kwa namna fulani mh zzk anataka kuwa aminisha wanakigoma kwamba wao wote wanachukuliwa kama wahaini ndani ya chadema,jambo ambalo sila kweli.haiwezekani muha 1 akiwa mwizi wote waonekane wezi.leo anaanza siasa za kikabila kesho ataanza kabila za kidini.ni vema mh zitto akajikita kwenye tuhuma zinazomkabili au kwenye shughuli yake yakibunge.maana ziara yake imeonyesha dhairi kuwa haikuwa na lengo lakujenga chama au kukagua maendeleo kwenye jimbo lake.hii ni ziara iliyikuwa na malengo binafsi ya zitto kisiasa.napenda kumkumbusha mh zitto kuwa kwenye mchezo wa siasa hakuna sare, kwa maana kati yako zitto na chama chako(chadema).katika vita hii je wewe unaweza kuwashinda?kama huwezi ungana nao kaa kimya.vinginevyo unajiangamiza kisiasa.inachukua muda mrefu sana kwa mtu kujijengea uaminifu bali uchukua sekunde chache sana kuupoteza.TAFAKARI CHUKUA HATUA.mods naomba kwa heshima kubwa uzi wangu msiufute haraka.wasalaaam
 

Wee ni mbumbumbu sana,

Mosi, hujuwi kuandika kabisa huna paragraph wala capitation! Yaani aheri ya jongoo kuliko wewe! Umekalia majungu mtoto mdogo nenda kasome bado una mda!

Pili, hujuwi unachokinena na wala unachokiamini! Siku nyingine kabla hujaanza kuandika basi sio vibaya ukajiridhisha pande zote pasi na Shaka ndio ukaandika. Itakusaidia sana kuandika Vitu timilifu na vyenye upana mkubwa!

Tatu, kazana na degree yako bado una muda wa Kijirekebisha! Elimu kwanza siasa baadaye!
 
Hichi kinachofanyika ni utoto!Agenda ya Zitto ilikuwa inapigiwa CHAPUO sana na CCM.CCM walikuwa wanafurahi sana kuona CDM inavurugika.Ila imethibitika wameshindwa vibaya.Hivyo sishangai kuona watu wengi,pengine ni ma-CCM wamejipanga ili tatizo liendelee kuwa kubwa.Kwa bahati mbaya Mh.Zitto naye kajichomeka,kafuata upepo.Ndo maana nilishawahi kusema Zitto Kabwe HANA upeo mkubwa wa kuchanganua mambo!Vitu vingi anachomekewa na yeye anakubali tu.Niliwahi kusema pia Zitto hata ile nafasi ya Unaibu Katibu Mkuu ilikuwa kubwa sana kwake na alikuwa anapwaya sana ukilinganisha ni vijana wengi walioko Chadema.Zitto anastahili kuelimishwa kwa taratibu juu ya maadili na miiko ya uongozi,bado ni kijana mdogo.Siasa za namna HAZIMFIKISHI popote,na wanaomtumia wanalijua hilo.
 
Watanzania tukubari kutofautiana kimawazo na kimtazamo, inasikitisha kuona baadhi ya watanzania kuwatukana km si kuwadhihaki wananchi wa Kasulu Kumpokea Zito Kabwe, wananchi wana makosa gani kumpkea zito Kabwe? km zito ana makosa ai viongozi wa Wilaya au mkoa wnaanchi wanahusika vipi? MBONA MZEE WA VIJISENT ALIPOKEWA KM SHUJAA HUKO SHINYANGA WAKABTI ALIKWAPUA PESA ZA WALALA HOI na hajawahi kukamatwa au kuhojiwa. MBONA MHESHIMIWA LOWASA ALIPO JIUZURU alipokea kama shujaa jimboni kwake? Kwa mtingo huu wa wananchama wa CDM kuwatukana wananchi wa Kigoma kisa kumpokea Zito halikubariki na ukosefu wa uvumilivu kwa watu wanaotofautianana na mtazamo wenu.

Tujifunze CCM mbona wananchama walipo tofautiana hawakufukuzana nakumbuka kundi la akina NAPE, SITA NA wengine walipoanzisha CHAMA CHA JAMII CCJ wahakufukuzwa ndani ya chama? CDM tujifunze kuvumiliana na kutofautiana, pia tuache matusi.

Matusi km haya hapa chini siyo sahihi kwa wananchi wa Kasulu, tunaomba moderator mchukue hatua stahiki kwa dhihaka badala ya kuchangia hoja ya kisiasa km uzi unavyoelekeza.



By fikirikwanza
umenena vema mandela wa kg, hilo hakuna mtu anaweza kuwakataza wanakg, lakin kg ni nini hasa hapa tz??? Tuanze na kummuuliza mwalimu??? Aliwahi kusema hivi wananchi wa kigoma mkigoma ninamgomea nani??? Alijua kg haina cha kumuumiza mtz mwingine au ninakosea???. So leo nikiamua funza awe malikia wenu vile kila kidole amekugusa ni hiari yenu wanakg, ruksa hiyo ni awamu ya pili.

Awamu ya tatu, alisema watz ni wavivu wa kufikiri, ukweli wavivu namba 1 ni mkoa wa mwisho kimaendeleo ambapo uktaja kg haikosi ilo orodha, huwezi sema mwanza au dar u arusha ni wavivu wa kufkiri wakati maendeleoo yanaonekana. Wavivu wakufikiri watakuwa kg na wenzake

awamu yanne niseme????? Kwanza tutafakari hayo juu. Jk alipuuza hata kupiga kampeni kg kaskazini maana alijua mbulula zitampigia kura tu, kama unabisha angalia kura alizopata kg wakati hakupiga kampeni

sasa ukiona leo wanashangilia mtuhumiwa wa usaliti bila kuhoji, ni yaleyale ambayo wakuu waliyaona siku mingi sana


 
Siyo kwa watanzania wa Kasulu tu...kwa watanzania wote. Kutukanana hakujengi umoja wa watanzania. Tuheshimiane.
 
acheni ujinga, mbona Nalaila kiula alipovurunda akatimuliwa hakupokewa kwao kwa mbwembwe.
 
Kigoma haijawahi kuwa kambi ya CDM. Kigoma ni kambi ya NCCR Mageuzi siku zote. Kigoma CDM imenyakua jimbo moja tu ambalo hata ikilipoteza ni afadhali kuliko chama kiparanganyike.
 

Hhahahaaaa mkuu, unanitafutia ban tu, well sikuzuii kuelewa unavyotaka kuelewa kwani "no matter what a person says, people will hear and understand what they want to hear/ understand" Umeamua kutafsiri verbatimly ili kujenga hoja siyo?

Take it as you wish, as for me..... I'll always be here!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…