PICHA ZA WIKI

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
15.JPG


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye akitazama mechi ya Taifa Stars, wengine pichani ni Rais wa TFF Ndugu Jamal Malinzi na Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Frederick Sumaye.

9.JPG

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau wa soka nchini, kulia ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanznaia (TFF), Jamal Malinzi, Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Mpira wa Miguu nchini FAT Said El Maamry, upande wa kushoto ni Mwenyekiti wa zamani wa TFF Muhidini Ndolanga na Rais wa zamani wa TFF Ndugu Leodgar Tenga muda mfupi kabla ya kuanza ka mechi ya Taifa Stars na Misri.

7.JPG

Mbunge wa Jimbo la Chalinze akizungumza na Khamis Mgeja kabla ya mechi haijaanza.

MICHUZI BLOG
 
Ndiyo maana tunafungwa funguwa hata na Somaliya...acha ya Misri.!!! Jamani viongozi wazee wa kutupwa.. Hivo nchi hakuna "YOUNG BLOOD"
 
Back
Top Bottom