Picha za utupu alizotuma zawekwa mtandaoni, afanye nini?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,128
16,101
Wana jamvi kuna kijana mwenzenu kayakoroga hapa, anaomba msaada wa ushauri.

Kamtumia mpenzi wake picha za utupu za kudownload kwenye mtandao, mwanamke kashtuka ili hali mwanamke katuma zake OG.

Sasa hapa ni tafrani hajui afanye nini, mwanamke kasanuka kapita huko kwenye hizo kona kakuta mzigo.

Msaidieni kijana ushauri amalize hili gumbizi lake!
 
Wana jamvi kuna kijana mwenzenu kayakoroga hapa anaomba msaada wa ushauri.
Kamtupia mpenzi wake picha za utupu za kudownload kwenye mtandao ,
mwanamke kashtuka ili hali mwanamke katuma zake OG.
Sasa hapa ni tafrani hajui afanye nini mwanamke kasanuka kapita huko kwenye hizo kona kakuta mzigo.

Ingia mfukoni..
Hakuna mkate ngumu kwa CHAI
 
Wana jamvi kuna kijana mwenzenu kayakoroga hapa anaomba msaada wa ushauri.
Kamtupia mpenzi wake picha za utupu za kudownload kwenye mtandao ,
mwanamke kashtuka ili hali mwanamke katuma zake OG.
Sasa hapa ni tafrani hajui afanye nini mwanamke kasanuka kapita huko kwenye hizo kona kakuta mzigo.
Msaidieni kijana ushauri amalize hili gumbizi lake!
Acha ukenge wewe mwanaCCM
 
Wana jamvi kuna kijana mwenzenu kayakoroga hapa, anaomba msaada wa ushauri.

Kamtumia mpenzi wake picha za utupu za kudownload kwenye mtandao, mwanamke kashtuka ili hali mwanamke katuma zake OG.

Sasa hapa ni tafrani hajui afanye nini, mwanamke kasanuka kapita huko kwenye hizo kona kakuta mzigo.

Msaidieni kijana ushauri amalize hili gumbizi lake!
Joined

May 2, 2016 LAKINI UNATIA AIBU NA UZI ZA KIJINGA.
 
Wana jamvi kuna kijana mwenzenu kayakoroga hapa, anaomba msaada wa ushauri.

Kamtumia mpenzi wake picha za utupu za kudownload kwenye mtandao, mwanamke kashtuka ili hali mwanamke katuma zake OG.

Sasa hapa ni tafrani hajui afanye nini, mwanamke kasanuka kapita huko kwenye hizo kona kakuta mzigo.

Msaidieni kijana ushauri amalize hili gumbizi lake!
Too late,
Akubali amekosea asirudie tena uchafu huo,
once mzigo uko mtandaoni hakuna namna tena....
 
Wana jamvi kuna kijana mwenzenu kayakoroga hapa, anaomba msaada wa ushauri.

Kamtumia mpenzi wake picha za utupu za kudownload kwenye mtandao, mwanamke kashtuka ili hali mwanamke katuma zake OG.

Sasa hapa ni tafrani hajui afanye nini, mwanamke kasanuka kapita huko kwenye hizo kona kakuta mzigo.

Msaidieni kijana ushauri amalize hili gumbizi lake!
Mambo yao waachie wenyewe, kwani walipokutana hao wawili wewe ulikuwepo?
 
Back
Top Bottom