Dah...
Kachanchabuseta POKEA HESHIMA NA NISHANI YANGU...Umenifungua mengi sana...
NAJIULIZA MASWALI YAFUATAYO:
1. Je tukio hili ni la kweli
2. Nani alisambaza picha hizi
3. Kama kweli polisi wetu wapo makini ni kwa nini
wasije kukanusha kuhusu picha hizi zinazosambaa
kwa kwasi hata kama mtu ana MB 8
4. Sisi wanainchi tukisema hii issue imepikwa tena
kisiasa tena na ******* tunamakosa?
5. Anyway mimi binafsi nasikitika sana na haya
mambo yanavyoendeshwa na serikali
yangu.Tutegemee nini mbeleni kwa uongo huu?
(HAPO NO. 5 PAGUMU SANA KUNIELEWA ILA NAAMINI kuna IQ kubwa zitanielewa.
NASIKITIKA SANA NA JINSI NCHII HII.INAVYOENDESHWA...