Picha za Nyerere Kutoka Maktaba

haha basi na [HASHTAG]#AKATUBU[/HASHTAG]
 
Duuh kwa hiyo fastrutation zinaongeza mwili
 
hapo taifa changa,matumaini kibao..miaka 50 mbele maji safi na Salama,huduma za afya shida,elimu shida,kula shida..viongozi wana dhambi sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji379] [emoji379] [emoji379]
 
Apumzike kwa amani mzee nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…