PICHA za msanii ninayemzimia Naija!

Hata mimi nampenda sana na ni mnigeria pekee ambaye huwa naununua movies zake ila sijaona katoka na movie siku za karibuni
 
wakawaida tu, hata mie nikijitia podari na nywele mbandiko nakuwa bomba zaidi yake
 
Dada yupi Nilham? Wako wawil hapo na bado wote wanaonekana wako bomba mbaya! Hebu nijuze maana wote nawakubali sana! Ila yule Geneviv Nhnaji ndio kawafunika wote.
 
wote my dear wazuri kati ya hao,,, but hata geneive nampa 5... ila kwasababu film yake ya kwanza kuiona naliact sehem ya mtu mbaya... i think ndio mana simfagilii sana... but their up..wallah,,, i like them..
Dada yupi Nilham? Wako wawil hapo na bado wote wanaonekana wako bomba mbaya! Hebu nijuze maana wote nawakubali sana! Ila yule Geneviv Nhnaji ndio kawafunika wote.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…