Picha za mh. Vicky Kamata nchini China alipokua akijiandaa kuanza maisha mapya

Hawa mabinti wenye nyodo kilele chao ni kuvalishwa pete za uchumba tu, ndoa hakuna wataishia kumegwa tu. Hata cjui huyu ni mchumba wake wa ngapi!

sio hivyo bana mii naamini kila binti ana mume wake Mungu aliyempangia regardless alishakuwa na wanaume wangapi huyo hakuwa mume wake thats why it happened that way. atapata wa kumuoa its not the end of the world
 
10406949_293296447512722_4898151486278594019_n.jpg

wanaume wote sisi kaishia kwa tapeli...hana machale huyu

Pole shem, angalia usitikise huo mkono!
 
Huyu mkubwa ni wa Paul Ntobi. Aliwahi kuwa RPC mkoa wa Mara sasa ni mstaafu
Tunajifunza nini Kwa wenye ndoa? Hata hawa makamanda!!! Hakuna msafi dunia hii. Wazee wanatamaa sana na vitoto virembo, sijui tuvifiche wapi masikini ya watu Vidada vyetu, maana hukawii kusikia shemeji yako Ni Mzee wa Ziwa Nyasa aka TOT
 
I definitely second your view!! Hawa watoto ni innocent, hawastahili kuhusishwa kabisa na hii thread. Hata kama Vicky mwenyewe kawaweka facebook. Muhimu ni kuwa hii thread si nzuri kisaikolojia kwa hao watoto. Naamini huyo mkubwa anajua kusoma by now, na akiiona itakuwa lifetime nightmare.

kuweka pics za watoto bila kuziba macho yao sio poa, they are innocent bana , msi wa drag kwenye hii issue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom