Picha za maajabu saba mapya ya dunia

sanya sanya

New Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Hi wanajamiiforum photo, mwenye picha za maajabu saba ya dunia, tafadhali aiweke kwenye forum hii.
 
oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa bibi yakooooooooooooooooooooo
 
mpaka huyo kenge kaushinda mlima kilimanjaro?kweli haya maajabu mapya
 
Akhsante ila kweli Tznia tulizubaa kweli Mimi nimeshapanda Table Mountain hiyo ya SA lakini sijaona lolote la kuuufanya uishinde Klnjaro ila jitihada za dhati hazikufanyika kuutangaza kwa wapiga kura. Mimi nilipiga kura yangu wewe je???
 
kwa hiyo kura kutotosha imepelekea table mountains kuushinda mlima kilimanjaro? kichekesho.
 
Mara nyingi nimekua nikiskia kuna maajabu 7 ya dunia!
Ila sijapata nafasi ya kuyafatilia hayo maajabu hapo awali

Hivyo nijuzeni hiyo orodha ya hayo maajabu 7 ya dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…