Picha za maafa ya mvua Kahama

MKATHOLIC

Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
29
Reaction score
9

Attachments

  • 1425704357835.jpg
    127.7 KB · Views: 5,148
  • 1425704386115.jpg
    147.2 KB · Views: 5,762
  • 1425704405596.jpg
    98.9 KB · Views: 7,233
  • 1425704426704.jpg
    148 KB · Views: 5,165
  • 1425704440893.jpg
    152.6 KB · Views: 4,649
  • 1425704456086.jpg
    141.9 KB · Views: 4,335
  • 1425704477981.jpg
    77.1 KB · Views: 5,710
  • 1425704656691.jpg
    108.3 KB · Views: 4,386
Poleni wote waliokumbwa na maafa haya
 
hizi ni baadhi za picha wadau
 

Attachments

  • 1425706294819.jpg
    6.3 KB · Views: 24,158
  • 1425706316270.jpg
    6.4 KB · Views: 24,010
  • 1425706329686.jpg
    5.7 KB · Views: 23,944
  • 1425706348185.jpg
    5.1 KB · Views: 23,867
  • 1425706386834.jpg
    6.8 KB · Views: 24,097
  • 1425706421715.jpg
    3.9 KB · Views: 24,230
  • 1425706445266.jpg
    5.1 KB · Views: 23,928
  • 1425706463549.jpg
    4.3 KB · Views: 23,939
  • 1425706485895.jpg
    6.5 KB · Views: 23,781
  • 1425706505459.jpg
    7.4 KB · Views: 23,780
  • 1425706518833.jpg
    6.3 KB · Views: 23,820
  • 1425706540954.jpg
    4.4 KB · Views: 23,895
  • 1425706573720.jpg
    5.2 KB · Views: 23,923
mwenyezi mungu awape moyo wa uvumilivu kwa yote yalowapata..
 
Poleni sana wafiwe wote
 
Mungu awape ujasiri na uvumilivu waTz wenzetu walioguswa moja kwa moja na jambo hili.eeh Mungu mwingi wa Rehema utuepushe na majanga kama haya sisi waja wako.
 
M/mungu awape sibra wafiwa na majeruhi wote
 
Soo soo soo sad.
Hali hii ndiyo hawa panya wanafanyia mtaji. Inasikitisha
 
Mdau mleta mada hicho ni nini kwenye dumu lililokatwa picha ya kwanza?
 
Serikali wacheni mambo yenu ya katiba..nendeni huko haraka.Wacheni kutoa maagizo nendeni mukatekeleze hayo maagizo.TUPENDENI HATA WAKATI WA SHIDA.
 
Mungu awarehemu wote waliofariki....nilikuwa nasikia tu kuna mvua ya mawe nikawa nabisha but kwa picha hizi nimeamini,dah hatari sana hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…