Picha za kustaajabisha

Dah!
Jamani watu ni wabunifu hatari..
Ukiipenda kazi yako hakika itakuwa poa sana..


Mwingine huyu....
 
woooooh......the best picture ever in june thank u jf
 
Very funny!!!Huyu dogo wa mbele anaweza kukimbia, ona namna anavyoinjoi na kurilax, but huyo bonge wa nyuma, kwisha habari yake

Hahahaa! inafurahisha sana!
Nimejiuliza sana nini kiliendelea!
Hivi kama wangesimama kwa umoja kweli huyo mnyama angewadhuru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…