View attachment 25452
Ndugu Watanzania. Kwa uchungu sana nimeangalia hizi picha. Nikajiuliza, hivi kweli ni serikali yetu imetufikisha hapa ?. Je, haya ndiyo matunda ya miaka 50 ya Uhuru ?? Je, haya ndiyo mafanikio ya Tanzania chini ya CCM ?
Nasikia ati Siku chache zijazo, serikali ya Kikwete na mafisadi wake CCM watatumia ma-bilioni ya shilingi kufanya sherehe za miaka 50 ya uhuru. Bila aibu Watawaalika viongozi matajiri kutoka dunia nzima kuwadangaya kwamba Tanzania ni nchi huru na imepata mafanikio mengi kwa kuwa chini ya CCM. Watasema ati tuna-amani !!!! Kama amani ndiyo hii, natumaini tunahitaji kujaribu chama kingine !!! Je, CHADEMA tukiwapa nchi : je mnaweza kuyabadili maisha haya duni ya watanzania ???
hivi hii miaka 50 ni ya uhuru wa nchi ipi ..... Tanganyika ...? Tanzania au Tanzania Bara...? historia haijakaa vizuri hapa
mkuu ndo yaleyale kila mtu atakula kwa jasho lake?? be happy mkuuu unakula na kushiba, MIMI INANIUMA KWELI KODI NINAYOTOA!Pia picha sio za kutisha au kusikitisha ki hivyo..... Hata Ulaya kuna homeless na watu hawana msaada wanakula leo usiku unapoingia wanatamani uendelee kuwa usiku tu.....Kwani ni nchi gani Africa haipo katika hali kama hiyo unayoonyesha kwenye picha?.... Hata hivyo tunakushukuru kwa picha
Mbona hujaonyesha hizo picha zimetoka maeneo yapi ya Tanzania? Inaonekana nyingine zimechakachuliwa kama hiyo ya pili, ni wapi huko ambako Mkuu aliingia kwenye nyumba ya namna hiyo na kukaa na wahitaji?
Pia picha sio za kutisha au kusikitisha ki hivyo..... Hata Ulaya kuna homeless na watu hawana msaada wanakula leo usiku unapoingia wanatamani uendelee kuwa usiku tu.....Kwani ni nchi gani Africa haipo katika hali kama hiyo unayoonyesha kwenye picha?.... Hata hivyo tunakushukuru kwa picha
Nimeona hizo picha ni rubbish. hazithibitishi chochote!. Labda kama hujatembea Africa na dunia hii.