Sitampgia kura Lowasa LAKINI kuna ishu za kumwondolea heshima km mwanadamu ni za kijinga.Hauwezi kufurahıa kuumwa kwa mtu au hata haya yanayosemwa km ni ya kwelı hakuna haja ya kuyashupalia.Nı uzuzu na upumbavu kwa watoto kumsema mzee lika ile etı kajinyea,laana itawaandama,wajınga kabisa.