Picha yaleta gumzo

Gumzo gani tena mnyamwezi lazima aendekeze unyamwezi wake tu.

Hujaona Waingereza walivyomshangaa Obama kumpa mkono mlinzi wa 10 Downing Street?
 
Hapo selebriti ni James, hao vijukuu wa malkia wameomba tu kajinafasi watokelezee...
 
Gumzo gani tena mnyamwezi lazima aendekeze unyamwezi wake tu.

Hujaona Waingereza walivyomshangaa Obama kumpa mkono mlinzi wa 10 Downing Street?

Gumzo lipo....kama unaweza angalia Around the Horn (ipo hewani sasa hivi), ESPN.
 
Wameshachagua jina la kijacho kama kitakuwa kidume ataitwa Prince James akiwa mrembo atakuwa princess Beyonce 🙂🙂
 
Haya mambo...kuna siku naposoma tulitembelewa na queen Maxima
Mimi sikwenda maana sipendi ma protocol...
Lakini chuo kilitoa lecture kabisa kuwa hairuhusiwi kupiga picha na queen...
Maana itakuwa aibu picha zake kukutwa facebook...
Huwa anapiga official photos tu...
Wenyewe anao watawala wanajua ...ila wageni ni wa kutaadharishwa...

Lakini nasikia wanafunzi walivyodata walimuomba selfie...and she is so sweet; new generation ya leaders hawajali mambo ya culture... hakuwakatalia...ndio kwanza kapozi
Ila chuo kika take trouble ya kuwomba walopiga nae selfie basi wasiweke Facebook...lol

Sasa labda wangewaelimisha kuhusu hizi sheria...
 
Gumzo lenyewe ni hilo hapo chini....

Kutoka Sandrarose.com (Sandra Rose ni blogger Mwingereza mweusi aishiye Atlanta)

Hii ni kutoka Daily Mail:

Hahaaahaha lol!!!! We Brits are not the touchy feely sort like you Americans. Touching is not allowed unless by invitation. Sadly....
 
Hahaaahaha lol!!!! We Brits are not the touchy feely sort like you Americans. Touching is not allowed unless by invitation. Sadly....

Ni kweli lakini...Wamarekani wako touchy-feely sana.
 
Na hawa nao usiniguse without invitation...sasa ukienda nchi ya watu wasiojua culture za kwenu unategemea kweli wazifuate culture ambazo hawazijui? Hawa jamaa nao wamezidi kulalama kwa vitu vidogo vidogo sana.

iyo culture wamarekani wametoa wapi? Kwa walatino...
Nilikuwa nadhani waingereza ni wajomba zao...na tabia hutoka ujombani...
 
Sidhani kama kama wameichukua kwa walatino, labda ni mixture ya culture mbali mbali za wahamiaji, na hawa wenzetu bado wako kwenye tamaduni zao za mwaka 1700.

iyo culture wamarekani wametoa wapi? Kwa walatino...
Nilikuwa nadhani waingereza ni wajomba zao...na tabia hutoka ujombani...
 
Hahaaahaha lol!!!! We Brits are not the touchy feely sort like you Americans. Touching is not allowed unless by invitation. Sadly....

sheria ngumu hiyo.......... sasa hiyo invitation inakuaje unaomba huo mwaliko au mpaka usubiri kupewa? afu touching ya hivyo mpaka aku invite inakuwa cold sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…