Picha ya Zari na pedeshee Katunzi, Diamond isikuumize kichwa

Jack Beur

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
222
246
Nimeona picha ya Zari na huyu anayejiita Pedeshee Katunzi, sijui ukweli wake kama hawa wawili ni wapenzi, huenda walikuwa ni wapenzi au ilipigwa kama ilivyo watu maarufu wakikutana pamoja hupiga picha ,bahati mbaya kwenye huu ulimwengu wa social media na teknolojia ya habari na mawasiliano, TEKINOHAMA mmoja wao anaweza akamisuse hyo picha na kutafuta umaarufu bila kujalisha maumivu anayoyapata mwenzie.

Au hata kama ni wapenzi poa tu maana ni watu wa jinsia mbili tofauti,lolote laweza kutokea.
Wito wangu ni kwamba Diamond asiwe na wivu kwa jambo kma hili kwani mwanamke aliyeamua kuwa naye ni Celebrity,awe tayari kuyasikia mengi na kuyachuja ukweli wake na lengo lake, maana mengi atakayoyasikia yatakuwa ni ya kuvunja moyo , ''disappointment and destructive news'' na vile vile Zari Diamond ni top story kwa sasa, au wanasema ndiyo'' habari ya mujini'' kwa sasa, hivyo Shigongo na magazeti yake wanatumia'' fursa'' kupiga hela....

Pia tusisahau uswahiba wa mtalaka wa Diamond, WEMA na dada mmoja mwandishi wa Global Publishers anaitwa IMELDA MTEMA, siku zote huyu dada atakuwa anaandka negative kuhusu Diamond na Zari ili kumuonyesha Diamond na mashabiki wake kwamba Zari si chochote na ni mchafu na kwamba right choice kwa Diamond ni Wema( Mtakumbuka habari aliyoiandka kwamba baada ya onyesho la mlimani city kwamba Zari ni GOLD digger, mara Wema ni mrembo kuliko Zari, eti anasaidiwa na make up, mara picha zinaeditiwa na bhala bhlaa kibao) , na hata asipoireport habari anaweza kupachika jina la mwandishi mwingne ili aonekane siye yeye aliyeandka hiyo negative news kumhusu Zari

Hivyo namshauri Diamond asipate shida na habari kama za akina PEDESHEE KATUNZI., ndo gharama za umaarufu hizo, the price behind celebrity.
 
Mtaendelea tafunwa hela zenu kwa kukosa maarifa.
 
Tunashukuru.kwa taarifa almas, kila baya la zari mnamuhusisha wema, hahahahahahha poleni na ugumegume wenu
 
Paragraph ya tatu ndio POINT
 
picha unaongea sana kama mzaramo au mhaya
QUOTE="Jack Beur, post: 12675355, member: 21895"]Nimeona picha ya Zari na huyu anayejiita Pedeshee Katunzi, sijui ukweli wake kama hawa wawili ni wapenzi, huenda walikuwa ni wapenzi au ilipigwa kama ilivyo watu maarufu wakikutana pamoja hupiga picha ,bahati mbaya kwenye huu ulimwengu wa social media na teknolojia ya habari na mawasiliano, TEKINOHAMA mmoja wao anaweza akamisuse hyo picha na kutafuta umaarufu bila kujalisha maumivu anayoyapata mwenzie.

Au hata kama ni wapenzi poa tu maana ni watu wa jinsia mbili tofauti,lolote laweza kutokea.
Wito wangu ni kwamba Diamond asiwe na wivu kwa jambo kma hili kwani mwanamke aliyeamua kuwa naye ni Celebrity,awe tayari kuyasikia mengi na kuyachuja ukweli wake na lengo lake, maana mengi atakayoyasikia yatakuwa ni ya kuvunja moyo , ''disappointment and destructive news'' na vile vile Zari Diamond ni top story kwa sasa, au wanasema ndiyo'' habari ya mujini'' kwa sasa, hivyo Shigongo na magazeti yake wanatumia'' fursa'' kupiga hela....

Pia tusisahau uswahiba wa mtalaka wa Diamond, WEMA na dada mmoja mwandishi wa Global Publishers anaitwa IMELDA MTEMA, siku zote huyu dada atakuwa anaandka negative kuhusu Diamond na Zari ili kumuonyesha Diamond na mashabiki wake kwamba Zari si chochote na ni mchafu na kwamba right choice kwa Diamond ni Wema( Mtakumbuka habari aliyoiandka kwamba baada ya onyesho la mlimani city kwamba Zari ni GOLD digger, mara Wema ni mrembo kuliko Zari, eti anasaidiwa na make up, mara picha zinaeditiwa na bhala bhlaa kibao) , na hata asipoireport habari anaweza kupachika jina la mwandishi mwingne ili aonekane siye yeye aliyeandka hiyo negative news kumhusu Zari

Hivyo namshauri Diamond asipate shida na habari kama za akina PEDESHEE KATUNZI., ndo gharama za umaarufu hizo, the price behind celebrity.[/QUOTE]
 
Nimeona picha ya Zari na huyu anayejiita Pedeshee Katunzi, sijui ukweli wake kama hawa wawili ni wapenzi, huenda walikuwa ni wapenzi au ilipigwa kama ilivyo watu maarufu wakikutana pamoja hupiga picha ,bahati mbaya kwenye huu ulimwengu wa social media na teknolojia ya habari na mawasiliano, TEKINOHAMA mmoja wao anaweza akamisuse hyo picha na kutafuta umaarufu bila kujalisha maumivu anayoyapata mwenzie.

Au hata kama ni wapenzi poa tu maana ni watu wa jinsia mbili tofauti,lolote laweza kutokea.
Wito wangu ni kwamba Diamond asiwe na wivu kwa jambo kma hili kwani mwanamke aliyeamua kuwa naye ni Celebrity,awe tayari kuyasikia mengi na kuyachuja ukweli wake na lengo lake, maana mengi atakayoyasikia yatakuwa ni ya kuvunja moyo , ''disappointment and destructive news'' na vile vile Zari Diamond ni top story kwa sasa, au wanasema ndiyo'' habari ya mujini'' kwa sasa, hivyo Shigongo na magazeti yake wanatumia'' fursa'' kupiga hela....

Pia tusisahau uswahiba wa mtalaka wa Diamond, WEMA na dada mmoja mwandishi wa Global Publishers anaitwa IMELDA MTEMA, siku zote huyu dada atakuwa anaandka negative kuhusu Diamond na Zari ili kumuonyesha Diamond na mashabiki wake kwamba Zari si chochote na ni mchafu na kwamba right choice kwa Diamond ni Wema( Mtakumbuka habari aliyoiandka kwamba baada ya onyesho la mlimani city kwamba Zari ni GOLD digger, mara Wema ni mrembo kuliko Zari, eti anasaidiwa na make up, mara picha zinaeditiwa na bhala bhlaa kibao) , na hata asipoireport habari anaweza kupachika jina la mwandishi mwingne ili aonekane siye yeye aliyeandka hiyo negative news kumhusu Zari

Hivyo namshauri Diamond asipate shida na habari kama za akina PEDESHEE KATUNZI., ndo gharama za umaarufu hizo, the price behind celebrity.
Habari bila picha ni sawa na Mali bila daftari.
 
Back
Top Bottom