englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
mbona walinzi hawapo
Lazima wawepo mkuu. Mmoja yule aliyesimama kule nyuma mwenye suti
mbona walinzi hawapo
Yule aliesimama kwa kule nyuma ni mlinzi!
Duuuhhhh cousine rangi ka ukuta wa jiko
Hi hii....sorry Mkuu, black is beautyha ha haa
mikatafeki ndio nini bwana....si ndio rangi yetu Africa.
.......au ujifanye malaria imepanda kichwani ghafla kisha uanze kurusha rusha masahani na vijiko hovyo...ukitaka umaarufu wa bure ingia hapo ujambe kwa sauti kubwa halafu sepa kimya kimya,,,