Picha ya siku!

Warren.T

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
900
Reaction score
318
Wakati wenzetu wanafanya haya sisi huku Africa tumelala,watia nia wanakuja na sera legelege!!
 

Attachments

  • 1435901138460.jpg
    49.9 KB · Views: 2,133
Naenda kwa fundi waya nkatengeneze taa za gari langu
 

Mtu akiniambia ni photoshop nitakuwa wa mwisho kuamini, wenzetu wameendelea huku tumezoea kusikia ahadi za kujengewa mitaro tu.
 
asanteee....
watu wako juu aisee
hongera yao..

 
Haya mambo hayawezekani katika mifumo ya maisha ya kiafrika,yenye watu waliodumazwa akili na Tawala za kijinga jinga. Sisi wenzetu ni wale manyani na masokwe.Tunawazidi kidogo tu kwa kuwa hatuparamii miti.Mambo mengi tunafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…