Picha ya siku

Picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
635672070502122726-can-PR14SPSG6919---Copy.JPG
 
mojawapo ya mashamba yangu ya urithi huko kijijini yapo eneo zuri kama hili, natamani nikajenge nyumba ya kufikia nikienda likizo yenye eneo la muonekano huu. na sitaogopa wanakijiji kunipiga juju...hahahaha
 
Wish you all the best.
 
mimi nilikua nasubilia kuona picha ya siku matokeo yake naona picha ya miti na maua tuu vipi wewe weka picha ya siku bwana rasivyo sheria ya mtandao itakuhusu maana umetudanganya wenzio
 
Naona umemzoea huyu mkuu englibertm wa jukwaa letu pendwa kuleee chini
 
Last edited by a moderator:
hii ndo picha bora ya siku
 
Attachments

  • 1433693154453.jpg
    1433693154453.jpg
    12.3 KB · Views: 662

Similar Discussions

Back
Top Bottom