englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
airport alipokuwa analejea toka EthiopiaMkuu, amejikwaa wapi au ni moja ya vituko vya Mh. Mugabe?
Hahahaaaaaaa Jamaa analindwa na mabodigadi kibao lakini wameshindwa kumuokoa asidondoke. Hata hivyo nalifagilia hili jembe
Kwa kweli huyu ni jembe.....Ndio Simba wa Africa aliyebakia...Akiondoka hatuna tena wengine woote wanafiki