Picha ya siku

Hayo ni mawazo yako potofu na elimu ni sawa sawa na bahari ni mradi tuko hai basi
 
kwi kwi kwi hii sio kweli

We Neddy, umri kama huo wanaogopa sana kufa. Atafanya vioja kama hiki! Ni sawa na wanawake wanapotoka kwenye usichana wanafanya vioja waonekane bado wasichana. Hii inakuja hata kwa wanaume wanataka dogodogo wanaweka kanta kuficha mvi, si unawaona! Mimi wenzangu wananishangaa kuwa nafuga mvi
 
Hayo ni mawazo yako potofu na elimu ni sawa sawa na bahari ni mradi tuko hai basi

At ninety ikupeleke wapi? For what benefit a primary school education to her, and how many years remaining to live as a capable human being
 
Anaongeza CV ya historia ya marehemu
 
At ninety ikupeleke wapi? For what benefit a primary school education to her, and how many years remaining to live as a capable human being

Hatuangalii kufa, hayo ni majaaliwa ya Mungu!! She/he is looking for knowledge not education!! Umesahau elimu ya watu wazima Tanzania ilishurutisha wazee kama hao kurudi shuleni? Au ulikuwa hujazaliwa? Na iliwasaidia wengi kujua chakula bora, makazi bora na namna ya kuishi!! Katika umri huo babu zetu vijijini ndiyo walijua umuhimu wa kujenga nyumba za bati na kuachana na nyasi!!

Nadhani ile elimu ya Ngumbaru irudi tena Tanzania, ilisaidia sana
 

Strange! Unadhani wazee wetu hawakujua hayo ( kwenye red), not at all! People were poor and not because they were ignorant of good housing, diet etc. Ngumbaru at what age? At 90! at 50-70 can make sense since life expectancy of Tanzanians has gone up a bit
 

Unazungumzia maisha haya ya mjini unayoyajua wewe, twende vijijini Mapanda-Mufindi huko, Mnazi-Lushoto, Mpanyani-Masasi huko tena kumebadilika miaka ya hivi karibuni, pata picha miaka 30 iliyopita! Hivi unajua kuna wazee (tena ni wengi sana) wamekufa na miaka zaidi ya 120 na wako vyema kabisa? Je katika umri huo 90's akisoma miaka 20 iliyobaki hiyo elimu haiwezi kumsaidia kupata ufahamu wa maisha yake?

Kunao wazee walikuwa na mifugo zaidi 1000 na walikuwa wanaishi kwenye nyumba za hovyo hovyo!! Walipata elimu hiyo hiyo ya ngumbaru wakajenga nyumba nzuri tu za bati!! Kwangu mimi nimeshiriki ipasavyo hayo mambo, mwishoni mwa miaka ya 80 na mwanzoni mwa miaka ya 90. Na mambo mengi sana ya kipuuzi yalifutika baada ya kuja kwa elimu ya watu wazima ambayo iliwapa ufahamu mkubwa sana, si kweli kwamba wote walikuwa masikini!!

Kuna wazee wamesomesha wajukuu baada ya yeye kuonja ladha ya elimu ya ngumbaru kwenye umri mkubwa kabisa ingawa unakuta watoto wake hawakugusa shule kabisa!!
 

Ligogoma, kuwa realistic, ni wangapi watafika miaka 120? !:1,000,000! You are speakinf of 30 years back. Things have changed a lot! NADHANI NAKUZIDI UMRI au tuko sawa kama unaongelea miaka ya 80 ulishuhudia Ngumbaru( not a good term anyway), NIMESHUHUDIA WAZEE WAKILALAMIKA KUWA WALIKUWA WANASUMBULIWA NA ELIMU AMBAYO KWA UMRI WAO HAIKUWA NA MAANA YOYOTE. Sikatai mtu kujiendeleza, but at what age? Unless kama huyo bibi anatafuta kufanya mazoezi ya kuamka asubuhi mwili usiwe legelege na uzee, lakini sio knowledge(kama ulivyiita) ya kumsaidia kuishi duniani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…