Picha ya siku

Bora ikawepo huko kwa madereva wenye akili zao timamu ingekua ni huku Yutong zingekua zimebaki chache sana maana hako kadown kanahamasisha kushuka nayo.
 
Kwa hizo ajali tuu ndo hofu maana hapo hakuna kishimo wala handaki ni kukanyaga tuu ni bora tubaki na hizi zetu za matuta
 
Kweli fweza ni kila kitu isipokuwa imeshindwa ku-guarantee maisha/uhai wa KUDUMU wa binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…