Ooyooo kule marikani ukipiga picha huwa unapewa madolla ya pesa na yenye baraka na neema za mapesa yao na dunia nzima inaitambua hiyo dolla na akipiga hapa hapa bongo pesa yake huwa ya madafu wala hatambuliwe nje na wala haina baraka wala neema na ukiepokea mkono wa kulia basi hapo hapo na wewe unaetolea kwa mkono wa kushoto na wala hautabakia na vijimasimbi au chenji ni mkavu hapo