Picha ya siku

Kwanini? Shida tu ndo zinatufanya tufanye yote haya
Mkuu unadhani bajaj ya mchina inaweza kuhimili mzigo huo kweli, nimewahi kushuhudia pikipiki moja ya kichina ikichukua mzigo mkubwa baada ya muda mfupi ikapinda katikati na kutengeneza umbo la karai (dish)...

Hiyo pikipiki hapo juu hata kwa mtazamo tu, hizo shock up zake zimekamilika...
 
Huyo jamaa upande wa kulia anayevuta sigara anatafuta balaa, ikitokea jani moja kavu likapulizwa na upepo na kugusa kishungi, sipati picha hiyo Dafur itakayotokea hapo....
 
wanatoka ngosero wanapandisha machame_shari.
hapo washachoma sana mahindi
 

Ni kweli mkuu, Huwa siamini bidhaa za kichina, bora uingine gharama ila upate kitu chenye ubora ila sio kununua kitu mchina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…