picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Can you name this volcano that can be found near Lake Natron in Tanzania? Have you climbed it?
 
Can you name this volcano that can be found near Lake Natron in Tanzania? Have you climbed it?

It's mount "Oldonyo Lengai", a Maasai terminology which translates to "Mlima wa Mungu". Ninavyosikia (sina uhakika) ni kuwa Wa-Maasai wanaamini kuwa ni Mungu wao na huwa wanafanya matambiko kwenye Mlima huu, na pindi unapokuwa unalipuka vocano, wanaamini kuwa Mungu anakuwa amekasirika! Very interesting!
 
Huo usafi unaouona kama weupe weupe ni lava ambayo imeganda baada ya kuwa imepoa, ambayo nadhani ukiikuta wakati inalipuka halafu ukafanikiwa kuiwekea chuma, sina shaka sana kama huwezi kupata unga/majivu kutokana na joto litakalokuwepo pale
 
Asante kwa somo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…