Picha ya siku

Mungu ni Mwema

Akiweka mkono wake hakuna lisilowezekana daima.
 
Hii inanikumbusha story ya Esther kwenye bible yule jamaa akajua Ndio anaenda kumuua mshkaji Kumbe ni vice versa
 
Kweli kabisa mkuu utafiti,ukimtumaini Mungu,never give up!Nimejikuta naanza kuimba ule wimbo wa "Wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni,,,,,,,,,,"
 
Last edited by a moderator:
I can imagine alivyofurahi after that exclusive event!!! Atakua kamzomea nyoka hadi mbavu zikamuuma

Hahaha mkuu hadi mbavu zikamuuma? Duh
 
Ujumbe mzuri. Mbona sioni reflection ya Eagle kwenye maji.
 
Kweli kabisa mkuu mleta mada, sababu sisi binaadamu hatuelewi nini kitakachotokea hata baada ya sekunde kadhaa zijazo

Hii inatufundisha kuwa lolote linaweza kutokea muda wowote, iwe la kheri au shari

Muhimu tukubali, na tuamini kuwa Mungu yupo

Mkuu maujumbe yako huwa yananigusa sana
 

Asante sana HARUFU
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…