F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jan 21, 2014 #2 Ndoto zake zitakua kweli one day....
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,490 Reaction score 100,883 Jan 21, 2014 #3 Maskini WA MUNGU weee Huyu ataishia wapi? Mimba, kubakwa na kukata tamaa maana hapo anaonekana katembea miles. Hajala kitu tangu Jana na akifika anachukua Ndoo kwenda kutafuta maji
Maskini WA MUNGU weee Huyu ataishia wapi? Mimba, kubakwa na kukata tamaa maana hapo anaonekana katembea miles. Hajala kitu tangu Jana na akifika anachukua Ndoo kwenda kutafuta maji
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Jan 21, 2014 #4 Kidumu chama cha mapinduzi
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jan 21, 2014 #5 farkhina said: Ndoto zake zitakua kweli one day.... Click to expand... Dada angu tukupe ubalozi wa watoto humu jamvini.!
farkhina said: Ndoto zake zitakua kweli one day.... Click to expand... Dada angu tukupe ubalozi wa watoto humu jamvini.!
SOCIOLOGISTTZ JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 2,615 Reaction score 929 Jan 21, 2014 #6 Maccm kwenye vitu kama hivi hawachangii....wala hutawaona
LexAid JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 1,931 Reaction score 774 Jan 21, 2014 #7 farkhina said: Ndoto zake zitakua kweli one day.... Click to expand... Kama zile za naibu wa 2 fwedha!
farkhina said: Ndoto zake zitakua kweli one day.... Click to expand... Kama zile za naibu wa 2 fwedha!
MKURABITA JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 317 Reaction score 126 Jan 21, 2014 #8 Huyu atakuwa amefukuzwa shule kwa kutopeleka hela ya mlinzi, mweeeee!!!!
tofali JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 4,010 Reaction score 3,423 Jan 21, 2014 #9 Kamechooka maskinii.kanawahi ugali
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jan 23, 2014 #10 Ngekewa said: Dada angu tukupe ubalozi wa watoto humu jamvini.! Click to expand... Hahahahahaha why?
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jan 23, 2014 #11 farkhina said: Hahahahahaha why? Click to expand... Sote tunapenda watoto lakini wewe unaongoza!
GKM JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 738 Reaction score 332 Jan 23, 2014 #12 dah wengine tunajiona tulipotoka tukiona picha kama hii
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jan 24, 2014 #13 i love the kid aisee ukisikia kuiba watoto wa watu ndo huku englibertm said: Click to expand...
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,231 Reaction score 15,643 Jan 24, 2014 #14 Rais huyo wa kwanza Tanzania mwanamke.