picha ya siku

picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
561549_725047010845792_1342924699_n.jpg
 
Hii ni milima ya Mombo ukielekea Lushoto. Huwa nafurahia kuendesha gari kwenye milima hii hasa kama hakuna gari inayokuja kwa kasi kwenye zile kona kali.
 
hapana, ni Usangi wakati wa masika. Kwetu mbaaali, tena Mwanga ni hapo bondeni tu baada ya kona kana 25 hivi kali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom