Picha ya siku

Picha ya siku

Hapo hakuna aliyemuona mwenziwe[emoji849]
 
simba analainisha koo kwa ajili ya kupitisha zebra's nyama,
 
Hapo nyie hamjui kinachoendelea.

Simba anataka Zebra ashibe vizuri ili anenepe amle akiwa na mafuta mafuta.
 
Simba atakuwa CCM lazima ndo kahamia tu toka CDM anajityarisha kugombea ubunge jimbo aliloliacha mwenyewe wazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom