Kibaiolojia iko hivyo. Watoto wanakuwa karibu sana na mama kipindi cha utotoni ila wakikua wanajielewa na kutambua nafasi ya baba katika maisha yao. Watoto wa kike ndio uwa wanabaki kuwa karibu na mama maisha yote kijinsia ila wakiume ujifunza kwa baba. Ukitaka kujua kuwa hiyo ni asili tazama documentary za maisha ya simba. Simba dume mtoto ulelewa na mama mpaka pale atakapokuwa tayari na kujitafutia anahamia chini ya utawala wa baba na kujiunga nae. Nature