Picha ya siku

Picha ya siku

arch88

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Posts
514
Reaction score
619
25417bb3f39727fdf26a08ea62c2afc0.jpg
 
Bashite ananyonya maziwa kwenye nyonyo hadi zingine zinamwagika,
Bashite noma sana wewe.
 
Mtoto kanyoa kiduku sura imekomaa kama chuma cha reli uwo mdomo sasa kweli uyo Bashite. Eti wanasema alikuwa usalama wa taifa.
 

Nyumbani kwenu ukiwa na bro kama bashite ni vyema ukoo umwagike. Jamaa anavyobebwa na yeye kukubali ni sawa na demu golikipa anavyomng'ang'ania lijari lililomsugua kisawasawa lakini kumbe ni dereva wa bodaboda na pikipiki si yake!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom