Picha ya Siku


Mbona msonyo tena?
 
Uzuri au ubaya wa kila mtu hujengwa na mazingira anayokulia, aliyolelewa na aliyokuzwa nayo...


Wazazi wazuri awe mme au mmke wanatoka kwenye familia ambayo tayari ilikuwa na foundation nzuri ya kujaliana, kuheshimiana, kupendana na kushikamana...


Cc: mahondaw
 

Nikweli mylove Smart911
Mungu atujaalie tuishi kwa raha na amani tele
Tukapate kuwa pamoja milele na milele
Tukapate kulea wanetu kwa umoja upendo na amani
Lav uuu
 
Nikweli mylove Smart911
Mungu atujaalie tuishi kwa raha na amani tele
Tukapate kuwa pamoja milele na milele
Tukapate kulea wanetu kwa umoja upendo na amani
Lav uuu
Kila tunapopata nafasi ya kumuomba Mungu tufanye hivyo... Usijali...


Love you more...
 
wivu utamuua
 
Hahaha! Unautani na Bashite wewe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…