Kweli serikali imeona mbali sana kuwaweka kando hawa walimu histori kumbe wanafanya upuuzi tu hata chuoni.
Na wewe ni kilaza tu..........mbona ameshika calculater kama kweli ni somo la history?........Kweli serikali imeona mbali sana kuwaweka kando hawa walimu histori kumbe wanafanya upuuzi tu hata chuoni.
Kilaza ni yule aliyekariri kila mwenye calculator ni anapiga hesabu au natural science subjects. Ona sa mjomba wako hapo juu kagonga picha na calculator akipiga paper ya ED-Measurement&Evaluation in Education.Na wewe ni kilaza tu..........mbona ameshika calculater kama kweli ni somo la history?........
Au labda siku hizi kuna calculation kwenye history??........
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] tuna safari ndefu .... afu njia yenyewe imejaa "makorongo" ....... by the way kwangu mie naona shida ni kwa mtahiniwa kutokulielewa swali