mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,126
- 58,857
Hawa wachoraji.wanamalizia,hasira zao humo.Hilo bichwa limekaa kama rock pedestal.
Hawa wachoraji.wanamalizia,hasira zao humo.Hilo bichwa limekaa kama rock pedestal.
kwani ukiombwa ruhusa na watu wa tatu kwa pamoja ata kama umewaruhusu uwezi jiuliza mbona wafanyakazi wangu wanaomaba ruksa kwa wakati mmoja richa ya kwamba kila mmoja kaomba kwa tatizo lake,utakuwa bos ambae ujakamilikaMchora katuni anataka atuaminishe kua wameondoka bila ruhusa na admin anashangaa,hapana wamepewa ruhusa na admin kwahyo admin hawez shangaa
Siyo official tu lakini ashaleft[emoji23] [emoji23] [emoji23] Maana admin mkorofi kweli kweli[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Not yet but dormant
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hilo bichwa limekaa kama rock pedestal.
Na wewe bichwa lako limekaa kama Sand Dune.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umenikumbusha WIND EROSION FEATURES