Hii picha mbona ni ya zamani enzi za ukaguzi wa silaha. Sasa angeongoza pia zoezi la ukaguzi wa vyeti kwa yeye kukaguliwa vyeti vyake na kisha wengine wafuate ingekuwa safi sana na akina Bashite wasingepata pa kutokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.