Hivi picha zote za Mkuu zilizotundikwa kwenye milingoti ya umeme nchi nzima huwa zinapelekwa wapi baada ya kwisha matumizi yake? Je zinahifadhiwa kwenye makumbusho ya taifa? Je zinazikwa kwa heshima zote au zinachomwa pia? 😳🤔
Kwani mapicha yote ya Rais yakibandikwa mitaani na kutolewa huwa yanatunzwa kwa ajili ya vizazi vijavyo?Nimekaa nikatafakari nikajiuliza hivi aliyekamatwa na kuwekwa korokoroni kwa sababu ya kuchoma picha ya Rais ameonewa? Je, emetendewa haki?
Kisha nikajiuliza je, Rais kwa kuchomwa picha yake ameonewa? Ametendewa haki?
Kisha nikajiuliza je, kitendo cha kuchoma picha ya Rais ni sawa na kumchoma Rais? Ama siye tunaye Rais wa picha?
Kama tunaye Rais wa picha basi kuchoma picha ya Rais ni sawa na kumchoma Rais kwa sababu ni Rais wa picha.
Kwa ufupi sasa mahakama na mfumo wetu wa haki umethibitsha beyond reasonable doubts kwamba kuchoma picha ya Rais ni sawa na kumchoma moto rais.sawa kwa sisi ambao tunafikra kubwa sasa hivi tukikuta gazeti laina picha ya Rais tunajua nini cha kufanya maana tunajua huku alipo ataungua tu ndio maana inabidi sasa watu wapigwe marufuku kuchoma picha yake.
Kwa wanasheria mlioko huku mtusaidie tu kwamba ilikuwaje kuchoma picha ya Rais ikawa jinai tena ya kufungwa jela
Mkuu umemaliza kila kitu🤣, hii nchi ngumu sanaHivi picha zote za Mkuu zilizotundikwa kwenye milingoti ya umeme nchi nzima huwa zinapelekwa wapi baada ya kwisha matumizi yake? Je zinahifadhiwa kwenye makumbusho ya taifa? Je zinazikwa kwa heshima zote au zinachomwa pia? 😳🤔
Bado tupo level ya chini kabisa ya viumbe, bado tuna'evolve'; tutakapofikia hatua ya juu ya viumbe nasi tutaelewa kwamba rais ni mtu tu, kama watu wengine. Na kwa kuwa ni kiongozi anao waongoza watakuwa na hisia mbalimbali juu yake. Wengine watatamani kabisa hata kumla mzima mzima wakipata nafasi ya kumfikia karibu. Sasa hawa kwa vile hawawezi kumfikia karibu, hasira zao zinapitia kwenye hayo ya kumchoma kwenye picha na anakufa kabisa, anapotea kwenye maisha yao!Kwa wanasheria mlioko huku mtusaidie tu kwamba ilikuwaje kuchoma picha ya Rais ikawa jinai tena ya kufungwa jela
Hapana.Ila siyo hii picha ya kudowload, na kuamua kuichoma moto! Sidhani kama nitakuwa nimefanya kosa la kusababisha kupelekwa mahakamani na kuhukumiwa.
Hilo gazeti likikutwa msalani si unafungwa maisha kama sio kunyongwa?Hivi nikinunua gazeti lenye picha ya rais, natakiwa nilifanyeje hilo gazeti baada ya kulisoma?
Picha Gani?Picha ya rais pamoja na yeye mwenyewe rais ni nembo ya nchi
Picha yakoPicha Gani?
Usiende nalo mtaani kwenu na kuwaonyesha majirani hiyo picha, na kisha kuchoma gazeti!Hivi nikinunua gazeti lenye picha ya rais, natakiwa nilifanyeje hilo gazeti baada ya kulisoma?
Nyea,nyeaHivi nikinunua gazeti lenye picha ya rais, natakiwa nilifanyeje hilo gazeti baada ya kulisoma?
Sasa picha yangu inaingiaje hapo? Umesema picha ya Rais na yeye mwenyewe ni nembo ya taifa, nikakuuliza picha Gani? Nilitarajia uniambie picha inayotumika rasmi kwenye maofisi au picha yoyote ya Rais iwe ya kuchora au kutengeneza Kwa namna yeyote ile.Picha yako
Nmesema picha ya rais afu unauliza picha ya nani tena? Kwan picha ya rais uliyoichora getto kwako anaonekana nani kwenye hy picha!Sasa picha yangu inaingiaje hapo? Umesema picha ya Rais na yeye mwenyewe ni nembo ya taifa, nikakuuliza picha Gani? Nilitarajia uniambie picha inayotumika rasmi kwenye maofisi au picha yoyote ya Rais iwe ya kuchora au kutengeneza Kwa namna yeyote ile.
kama twiga vile?Picha ya rais pamoja na yeye mwenyewe rais ni nembo ya nchi