ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Uko sahihi kabisa mkuu.Katika ulimengu wa leo na hata wa kale(kwa mujibu wa historia) hichi ndicho hufanyika kwa walio wengi ambao ni nuru ya kudumu kuzimwa na wenye nuru ya muda.....huu ndo ukweli wenyewe.
Pamoja sana brother.Big up boss,Hii picha nimeielewa sana
I.E.Katika ulimengu wa leo na hata wa kale(kwa mujibu wa historia) hichi ndicho hufanyika kwa walio wengi ambao ni nuru ya kudumu kuzimwa na wenye nuru ya muda.....huu ndo ukweli wenyewe.
Sio zama hizi ....Katika ulimengu wa leo na hata wa kale(kwa mujibu wa historia) hichi ndicho hufanyika kwa walio wengi ambao ni nuru ya kudumu kuzimwa na wenye nuru ya muda.....huu ndo ukweli wenyewe.
Tuko pamojaNice job Mkuu
Sio kidogo.Aseeh ni hatari....